Mwenge wa uhuru........it goes back tulipopata uhuru,swali na kwamba was it kweli uhuru??ni kweli tuukimbize mwenge wakati hatuna uhuru mikono yetu imefungwa na wachache kiuchumi,kisiasa na kijamii??Haina maana kuendelea kuukimbiza mwenge wetu maana maana ya halisi ya kufanya hivyo haipo......tungekuwa na uhuru wala tusinge jali gharama za kuukimbiza mwenge maana tungekuwa na mafanikio kibao,gharama isingekuwa ishu,na tendo hili lingekuwa ni fahari ya kila mtanzania.
Tutafute uhuru,sisi wote ni wafungwa chini ya serikali na sera zake sizizo huru.