Habarini
Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua
Basi nikaenda hospital nikapimwa nikapewa dawa za kutumia mwezi mzima now sijambo jngawa bado naendelea na dawa
Sasa watu wangu wa karibu wananambia ni hizi simu ndio tatizo mie simu yangu huwa napunguza mwanga hadi mwisho
Je kuna kaukweli?!