youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hutaki unaacha
mtu akihama ana acha chama chake haondoki na chama, na chama cio mtu kma chama ni mtu bac tuseme ccm imekufa coz wa anzilishi wake washa kufa...
viva ukawa
ACT ni chadema B pia? Maana walojitoa CDM ndio wameunda ACT. So kujitoa chama kimoja kwenda kingine ni kwa kutofautiana hoja na mitazamo.
Hata Dini ni hivyo hivyo mtu akihama dini moja kwenda dini nyingine ahami na dini yake ya mwanzo atokako bali hufuata utaratibu wa dini aliyohamia.
[h=3][/h]
Mbowe anaangalia pesa iko wapi
Chadema siyo wapinzani tena, ieleweke hivyo, ACT wazalendo ndiyo chama cha upinzani!
Mbona kila siku mnamsakama Zito, kumbe na nyie mmo
Usiseme Chadema ni chama tawala , sema tawaliwa au chama nunuliwa.
Mbona kila siku mnamsakama Zito, kumbe na nyie mmo
Upo sawa Kabisa mheshimiwa, CHADEMA haiwezi kuwa chama tawala kisha hapo hapo iwe upinzani! CHADEMA SIYO WAPINZANI, lakini uhalisia huo ni kuanzia tarehe 25!Chadema siyo wapinzani tena, ieleweke hivyo, ACT wazalendo ndiyo chama cha upinzani!
Upo sawa Kabisa mheshimiwa, CHADEMA haiwezi kuwa chama tawala kisha hapo hapo iwe upinzani! CHADEMA SIYO WAPINZANI, lakini uhalisia huo ni kuanzia tarehe 25!