Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajinga,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbwa,sungura.n.k.wanamiliki CMU. MWANA, KIJITI CHA WAPI HICHO, ARUSHA AU?
Natamani siku wakizipiga marufuku jamani tuungane wote tuzirudishe pale ubalozi wa china au tuunde jumuia ili tuzitoe msaada ata congo wandugu!
mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajinga,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbwa,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.
Kaka kuku anakula kulingana na mdomo wake! Sisi wengine vipato vyetu ni vidogo. Ndiyo maana vyakula tunanunua vya mafungu, sukari robo au kijiko, mkaa wa mafungu na kadhalika. Kama unataka anayemiliki simu awe na uwezo, wengine watakuambia tupige marufuku magari yaliyotumika kutoka Dhubai au Japan, yaletwe ma Hammer au VX 9! Au usafiri uwe wa ndege tu hapa nchini, je, itawezekana?mi nataka zizimwe,ili atakayemiliki kweli awe na uwezo kweli.Cyo kila mtu,mtoto,vijana,wazeze,wajinga,wapumbavu,wanaf.ngendere,mbwa,sungura.n.k.wanamiliki CMU.WHAT IS THAT?imekuwa familia ya Kambale kila mtu ana ndevu.TCRA zima haraka na orijino ianzie laki 2 na kupanda.Hatutaki cmu za buku ten.