mwalimumwema
Member
- Dec 7, 2012
- 16
- 1
kwahyo ww hauoni serikali ina tatzo bali CWT?hivi CWT ndo inawaajiri waalimu mpaka ilaumiwe? poor ward school product
Mimi ni tcha. Kweli cjui pakuanzia maana matcha wenzangu ni majinga, CWT naTUCTA ni wahuni na SIRIKALI ni dhalimu.
Tatizo sio Serikali, Ishu iko kwa Chama cha walimu na walimu wenyewe, Walimu wenyewe ikiitishwa mgomo utawakuta wengine wako Madarasani wanapiga chaki kama kawaida, sasa hapo unategemea nini?
Vyama vya wafanyakazi Tanzania ni vya kisanii, Kuanzia TUCTA na wanachama wake, Katika nchi yeyete ile dunini vyama vya wafanya kazi vinaheshimiwa sana make vinao uwezo wa hata kufanya Mapinduzi ya kuondoa UTAWALA madarakani.Cheki mfano wa South Africa au Kenya vyma viko Strong sana,
Bongo eti wanagoma huku wakisema tunawahurumia wanafunzi wasio kuwa na hatia huu ni ujinga, CWT ni wasanii tupu na walimu ni waoga kuliko,
So Serikali isalaumiwe bali walimu na chama chao pamoja na TUCTA ndo walaumiwe
Unatakiwa ufanye utafiti wa kutosha kabla ya kusema haya! Ni kweli matatizo ya walimu yamesababishwa na CWT na TUCTA?
Katika kongamano la kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania bara swala la walimu na elimu limegusiwa sana na wachokoza mada na wachangiaji waliowengi. Lakini jambo lililonishangaza ni tuhuma kwamba eti 'serikali ya Tanzania inapuuzia madai ya walimu' naamini tunao walimu hapa, je ni kweli madai ya walimu yanapuuzwa na serikali yao tukufu? Pia naamini wawakilishi ama SERIKALI yenyewe inapitapita maeneo haya, Je ni kweli katika uongozi wao wanapuuza madai ya walimu?
KWA HALI HIYO BASI WALIMU WAFANYEJE SASA IWAPO MADAI YAO YA MSINGI YANAPUUZWA NA SERIKALI.
vijana wooote tunapaswa kulibeba hiliNimeshasema humu jamvini kwamba kulalamika hakutasaidia kitu.Unatakiwa utambue kwamba ualimu is a low paying job! Lakini ukiwa mwalimu you have a lot of ample time to do your own business.Ukishalielewa hilo hautasumbuka na serikali pamoja na jamii isiyojali na kuheshimu walimu. Ieleweke kuwa ualimu ni profession kama nyingine e.g uanasheria,udaktari etc kwa hiyo mi nachofanya ni kuwa baada ya darasani kinachofuata ni business,e.g any consultation lazma ilipiwe zaidi ya hapo kazi haifanyiki.Kunifuata nyumbani au muda tofauti na wa darasani lazma uje na consultation fee vinginevyo niache nihudumie wengine wanakuja kwa ajili ya kupata elimu ya ziada kwa malipo.Hapo ndo heshima ya kazi ya ualimu utaiona kwa sababu wanafunzi wa wazazi huwa wanajua kumwona mwalimu anayejiita mheshimiwa lazma ujipange.Hivyo ndo namna mambo yanavyotakiwa kwenda,mi nawashauri walimu mnaopitia hapa jamvini kuwa you have to value yourself vinginevyo utaendelea kuwa ngazi ya wengine tu ya kupandia.Ukiwa na msimamo hela wanazileta wenyewe na vigogo wanakuwa wanakuita uwafundishie watoto wao nyumbani kwa mambo yaleyale wanayoyasema hayaruhusiwi yaani tuition.Mi nawakumbusha ndg zangu kuwa bill gates aliwahi kusema kuwa UKIZALIWA MASKINI SIO KOSA LAKO,LAKINI UKIFA MASKINI NI KOSA LAKO.Kwa hiyo una wajibu kuhakikisha maisha unayaweka sawa
Hawa si ndo watetezi wao? Mkuu kikiwa na Trade Union Legelege matatizo hayawezi kuisha, lakini kama CWT na TUKTA wangekuwa strong kabisa walimu wasingekuwa wanalia kama hivi, Mbona Kenya huwa kinaeleweka? TRADE UNION ZA south africa au Kenya zinaogopwa kuliko hata vyama vya Upinzani,
imagine inaitishwa mugomo usio kuwa na kikomo then baada ya siku mbili unasikia tumesitisha mugomo kwa kuwahurumia wanafunzi, huu nu usanii wa hali ya juu,
KWA KIFUPI TANZANIA HAKUNA TRADE UNION KUNA USANII TU WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA WANACHO JALI NI MATUMBO YAO NA WANATUMIKIA SERIKALI
Kumbe nyie hamjui; hao viongozi wanaogopa MABWEPANDE ndo maana wako weak namna hiyo.