Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,627 Aug 7, 2018 #1 Walevi wanajua. Ni kweli pombe hupoteza mawazo au mawazo husogezwa mbele ? Tushauriane hapa jamani
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,023 Reaction score 9,577 Aug 7, 2018 #3 .
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,590 Reaction score 12,363 Aug 7, 2018 #4 Hivi punde said: Walevi wanajua. Ni kweli pombe hupoteza mawazo au mawazo husogezwa mbele ? Tushauriane hapa jamani Click to expand... Nikiwa na mawazo pombe sigusi huwa ni maji makubwa tu ya baridi
Hivi punde said: Walevi wanajua. Ni kweli pombe hupoteza mawazo au mawazo husogezwa mbele ? Tushauriane hapa jamani Click to expand... Nikiwa na mawazo pombe sigusi huwa ni maji makubwa tu ya baridi
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,910 Reaction score 4,052 Aug 7, 2018 #5 Hufanya kuahirisha muda kuwaza tu but pombe ikiisha kilichokufanya uwaze unakikuta kiko pale pale au hata kimeongezeka, hivyo utawaza upya. Mawazo yanamalizwa na wewe mwenyewe uliyenayo.
Hufanya kuahirisha muda kuwaza tu but pombe ikiisha kilichokufanya uwaze unakikuta kiko pale pale au hata kimeongezeka, hivyo utawaza upya. Mawazo yanamalizwa na wewe mwenyewe uliyenayo.