Ni kweli nyani wa Mikumi ukiwapa chipsi hudai uwapatie na na tomato sauce?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Ni kweli nyani wa Mikumi ukiwapa chipsi hudai uwapatie na na tomato sauce?

Hamjamboni nyote?

Muda huu niipo na jamaa wa kimakonde hapa Kijiweni anadai nyani wa maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro wana vituko vya ajabu hasa kwa Wasafiri waendao Mikoani kutokea Dar es salaam

Anadai kuwa ukianua kuwapa chakula kama chipsi basi nyani hao hukagua na wakiona hakuna tomato sauce basi huanza kudai kwa uwapatie Kwa kutumia ishara ya mikono yao!

Wadau Sina hakika na nilichoambiwa na Ndugu yangu huyu ila naomba mwenye ushahidi atupatie

Sabato njema
 
Nyani ana akili kama binadamu ,,lakini nyani wa porini anaweza kukudhuru kwa meno na kucha,,,taadhari.
Kwa mikumi sina uhakika,,,
 
Nimeenda sana tarangire, safari za shule.... pale sehemu ya picnic iliyopo pembeni ya mto tarangire, kuna ngedere pale na kima hua wanaomba watu chakula... wanakuwekea mkono ile ishara ya kuomba. Wengine hawaogopi watu anakuja anakupokonya kitu.

Nahisi wanajifunza, itakua hata huko mikumi wapo hivyo
 
Kijiwe Leo kimenoga, angalieni hizo ofa za tajiri ,msigombane baadae km story zenyewe ndio hizi na muda bado sana kuingia giza
 
Back
Top Bottom