spectator Ion
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 350
- 373
Muwahi kabla mafisi hayajamnyakua[/QUOTE
Mafis yalaniwe .haha nahis Mimi pekee ndo nampenda.
Samahani before you left, unajua maana ya LUKU?!?!View attachment 970823mi napita tu mkuu
Wapigie tanesco wakuelimishe kuna namba yao ya dharulaSamahani before you left, unajua maana ya LUKU?!?!
Tangu lini LUKU ikawa na deni?!??!
Kwani LUKU hazina deni?? Huwa zinadeni hasa inapokuwa imefungwa mpya hutoa unit 50 za awali kwa maana hiyo unaponunua umeme kwa mara ya kwanza unapaswa kulipa na unit 50 ulizozikuta.Samahani before you left, unajua maana ya LUKU?!?!
Tangu lini LUKU ikawa na deni?!??!
Dodo ili linanfanya nisiikose dsWanafunzi wa chuo bhana.
Naliokota ni matter of time tu..Duuuhh!, bro hapo umeokota au umepishana nalo?.
Nilimfata mkuubasi kama ulimuacha ndo ushapishana naye maana kuna wenzio ambao walimuona na hawakumladhia damu
kila la kheri Mkuu.Naliokota ni matter of time tu..
Ficha ujinga wako tafadhaliSamahani before you left, unajua maana ya LUKU?!?!
Tangu lini LUKU ikawa na deni?!??!
Nisaidie kumwambia, licha ya hizo unit 50 km ulikuwa na deni kwenye zile mita za zamani huwa linaamishiwa kwenye lukuKwani LUKU hazina deni?? Huwa zinadeni hasa inapokuwa imefungwa mpya hutoa unit 50 za awali kwa maana hiyo unaponunua umeme kwa mara ya kwanza unapaswa kulipa na unit 50 ulizozikuta.