sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Nimeambiwa na mtu wangu wa karibu msemaji wa klabu kubwa Nchini kapata ajali ya kuanguka toka kwenye bajaji.
Kama ni kweli pole sana kwa yeye binafsi na wapenzi wa simba
Je nikweli wadau wa soka, ina maana na kelele zooote zile Simba wanashindwa kumpa hata gari ya milioni mbili na nusu?
==================
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba, Haji Manara, amepata ajali mbaya ya bajaji baada ya kuchomoka na kuangukia barabarani. Kuanguka huko kumesababisha Manara kupata majeraha sehemu za mkononi na usoni.
Chanzo: East Africa Tv