W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Mar 30, 2015 #1 Mbona wengi wapo huru na wapo katika nafasi za uongozi? Ni kweli hawakamatiki/untouchable! Pengne jinai ni halali kwao.
Mbona wengi wapo huru na wapo katika nafasi za uongozi? Ni kweli hawakamatiki/untouchable! Pengne jinai ni halali kwao.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,530 Reaction score 32,742 Mar 30, 2015 #2 Government corrupt itapa viongozi corrupt unategemea nani atamfunga paka kengele-J.K.Nyerere
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Mar 30, 2015 Thread starter #3 ktk EPA, ni wachache walioshindwa kurudisha pesa ndio walikutwa na hatia.. richmonds na eskrow, je wahusika wapo safi?
ktk EPA, ni wachache walioshindwa kurudisha pesa ndio walikutwa na hatia.. richmonds na eskrow, je wahusika wapo safi?
A ATANASI MGONIDUGULU Member Joined Aug 7, 2013 Posts 38 Reaction score 2 Mar 30, 2015 #4 Huoni mafisadi badala y kunyongwa tunawapa madaraka
H hapohapo Member Joined Feb 5, 2015 Posts 95 Reaction score 27 Mar 30, 2015 #5 Sikuzote mwiz kamwe hawez kumuwajibisha mwiz mwenzake.yaani at a Wa tz wanao waskilza nakuwapigia kula hawa jamaa inatakiwa wapimwe ubongo.
Sikuzote mwiz kamwe hawez kumuwajibisha mwiz mwenzake.yaani at a Wa tz wanao waskilza nakuwapigia kula hawa jamaa inatakiwa wapimwe ubongo.
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Apr 1, 2015 Thread starter #6 ATANASI MGONIDUGULU said: Huoni mafisadi badala ya kunyongwa tunawapa madaraka Click to expand... inaskitisha sana.
ATANASI MGONIDUGULU said: Huoni mafisadi badala ya kunyongwa tunawapa madaraka Click to expand... inaskitisha sana.