youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hapa kazi tu porojo peleka ukawa
Ukawa ndo kuna wananchi.
Hapa kazi tu porojo peleka ukawa
Hawa wengine wasio ukawa si wananchi?
Nikipenzi cha watu weng ambao bado awajajua ukweli kutoka kwa dr slaa but Kama Mimi never
Yaaa ndio raisi, MABADILIKO kwanza, kazi muachie punda
Hali inayotokea bara mwaka huu kule zanzibar imekuwa ni kawaida kwani kama ni watu kujaa kwenye mikutano ya cuf na kutundika mibendera kila mahali imekuwa hivyo toka 1995 lakini chaguzi zote maalim seif anaanguka,kwahiyo huyo lowassa naona atazimia siku hiyo magufuli atapotangazwa kuwa rais
kwa kweli Magufuli akiingia ikulu miaka mitano atakuwa anashangaa kaingiaje!
Lowassaa
Mabadilikoo
✌✌✌