Ni kweli kwamba Ruto anawaunga mkono M23?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,979
Reaction score
6,676
Nimesikia Rais Ruto anawasapoti M23,kwa hiyo jambo gani litatokea akirudi kutoka Marekani na amerudi sasa within the past hour.

Au this is useless speculation tusubiri kuona jambo gani litatokea.

Ameongea na Biden, na amekwenda US Army HQ,ambako wameongea mostly kuhusu Somali terrorists.

Pia Kenya imepeleka peace-keeping force Haiti. This is nice.
 
Nikiwatazama majirani zetu Kasi ambayo wanaenda nayo na ukaribu walionao na Us kijeshi kwa Sasa lazima na sisi tuimarishe Capability ya TPDF katika Kila nyanja ikiwemo kiteknolojia. Na pia tushirikiane na super powers Kama china na Russia ili tuweze kubalansi nguvu za kijeshi katika ukanda wetu. Hivyo ndivyo tutavyojilinda
 
Baringo,turkana,lamu huku kote shule zmefungwa sababu ya wahalifu ameshindwa kubwa na bado anapeleka jesh nje??
 
Nimesikia Rais Ruto anawasapoti M23,kwa hiyo jambo gani litatokea akirudi kutoka Marekani na amerudi sasa within the past hour.

Au this is useless speculation tusubiri kuona jambo gani litatokea.

Ameongea na Biden, na amekwenda US Army HQ,ambako wameongea mostly kuhusu Somali terrorists.

Pia Kenya imepeleka peace-keeping force Haiti. This is nice.
Kwa miaka mingi vitendo vya ugaidi vya Al Shabab vimekuwa ni sehemu ya mapato ya Kenya toka kwa USA, so hawezi kuacha kusemea hilo ili hela zije kwa wingi.

Wajua, uwanja wa kuuzia madini ya DRC huwa ni Nairobi ikiwa DRC haina utulivu. Ndiyo maana uliona mtu kama Sofapaka alitajirikia Kenya au General Mundeke Dako kuweka makazi Kenya.

Kwa hiyo macho ya tathmini utaona Kenya ni miongoni mwa wanufaika wa machafuko ya DRC, na Tanzania huwa inawakera sana inapokuwa mstari wa mbele kulinda amani ya DRC.

Ova
 
Wahuni wakiwa mbele ya media wanatuzuga kuwa wanajadili mambo fulani sensitive ,kumbe back door wana mambo yao.

Nasema daily, hizi safari wanazozifanya hawa viongozi wetu huko kuna namna zitaleta matokeo ya hayo wanayoyafanya hasa hapa East Afrika.

Migogoro midogo na vikundi dhaifu vya kigaidi vinaweza vipi kuzihangaisha nchi zenye majeshi na siraha kubwa?, jibu ni moja tu hizi ni biashara za watu zinazoanzia hapa hapa Afrika wananchi tunageukana kwenye madeal ya machimbo huko tunauzana then tunaangukia kwa wanasiasa ambao ndio mabosi zetu, then nao wana mabosi wao wanaoFund hawa wanasiasa mpaka mivutano yetu huku level ya chini kabisa, na Level kubwa kabisa ni wafanyabiashara wa vifaa vya kielectronics&siraha hawa ndio mabosi wa wanasiasa pia wanaowaFunds wanasiasa wetu washindwe kutatua migogoro&vita za kiitikadi.

Mkifuatilia vizuri mtagundua wamiliki wa makampuni makubwa ya Electronic devices(smartphones,Computers) ndio wanunuzi wakubwa wa madini yanayouzwa kwa njia haramu za black-market na umwagaji damu, yaani madini yaliyopatikana kwa njia za uharamia ndio hayo hayo hutoroshwa na kuuzwa kihuni kwa bei za kihuni then yanawafikia mabosi wamiliki wa haya makampuni makubwa akiwepo "APPLE" hawa ndio wanaosapoti hizi vurugu huko Congo kupitia mgongo wa migogoro ya ardhi, ukabila, ugaidi ili wapate chance ya kubeba raw materials.

Siku ambayo migogoro itakwisha hapa afrika ndio siku ambayo baadhi ya makampuni yatafirisika kabisa, hivyo basi ni lazima walinde maslahi yao kwa njia zozote zile ikiwepo kuwahadaa viongozi wetu, kuhadaa njia za mapigano dhidi ya ugaidi chini ya mwamvuli wa UN na takataka za aina hiyo,

Maraisi wetu wakija kuweka wazi hiyo mikataba wanayosaini huko waendako hakika tutalia.
 
Rwanda mmemtoa?
 
Nimesikia Rais Ruto anawasapoti M23,kwa hiyo jambo gani litatokea akirudi kutoka Marekani na amerudi sasa within the past hour.

Au this is useless speculation tusubiri kuona jambo gani litatokea.

Ameongea na Biden, na amekwenda US Army HQ,ambako wameongea mostly kuhusu Somali terrorists.

Pia Kenya imepeleka peace-keeping force Haiti. This is nice.
Waulizenwaluokusimulia
 
Umesikia wapi?
 
Hyo kenya sindio General wake alikimbia vita DRC anasema kuna drone inazunguka nyumba yake bora arudi nyumbani wasije kumuua
 
u
Wahuni wakiwa mbele ya media wanatuzuga kuwa wanajadili mambo fulani sensitive ,kumbe back door wana mambo yao.

Nasema daily, hizi safari wanazozifanya hawa viongozi wetu huko kuna namna zitaleta matokeo ya hayo wanayoyafanya hasa hapa East Afrika.

Migogoro midogo na vikundi dhaifu vya kigaidi vinaweza vipi kuzihangaisha nchi zenye majeshi na siraha kubwa?, jibu ni moja tu hizi ni biashara za watu zinazoanzia hapa hapa Afrika wananchi tunageukana kwenye madeal ya machimbo huko tunauzana then tunaangukia kwa wanasiasa ambao ndio mabosi zetu, then nao wana mabosi wao wanaoFund hawa wanasiasa mpaka mivutano yetu huku level ya chini kabisa, na Level kubwa kabisa ni wafanyabiashara wa vifaa vya kielectronics&siraha hawa ndio mabosi wa wanasiasa pia wanaowaFunds wanasiasa wetu washindwe kutatua migogoro&vita za kiitikadi.

Mkifuatilia vizuri mtagundua wamiliki wa makampuni makubwa ya Electronic devices(smartphones,Computers) ndio wanunuzi wakubwa wa madini yanayouzwa kwa njia haramu za black-market na umwagaji damu, yaani madini yaliyopatikana kwa njia za uharamia ndio hayo hayo hutoroshwa na kuuzwa kihuni kwa bei za kihuni then yanawafikia mabosi wamiliki wa haya makampuni makubwa akiwepo "APPLE" hawa ndio wanaosapoti hizi vurugu huko Congo kupitia mgongo wa migogoro ya ardhi, ukabila, ugaidi ili wapate chance ya kubeba raw materials.

Siku ambayo migogoro itakwisha hapa afrika ndio siku ambayo baadhi ya makampuni yatafirisika kabisa, hivyo basi ni lazima walinde maslahi yao kwa njia zozote zile ikiwepo kuwahadaa viongozi wetu, kuhadaa njia za mapigano dhidi ya ugaidi chini ya mwamvuli wa UN na takataka za aina hiyo,

Maraisi wetu wakija kuweka wazi hiyo mikataba wanayosaini huko waendako hakika tutalia.
umeandika vzr ila una anti american iq inabid uitoe kwanza out of samsung , huawei , itel umeiona Apple tu?
 
Back
Top Bottom