Ni kweli kuwa ukianza na diplioma miaka ya kusoma degree inapungua?

lnox menel

Member
Mar 11, 2017
48
26
Eti MTU akisoma diploma miaka ya degree ina pungua lakini akisoma a level miaka ya degree inakua vile vile mfana diploma ya mining no miaka mitatu hivyo degree in miaka mitatu badala ya minne
 
hiyo kitu haipo.afu ukitaka kufaham vitu kwa makini,fuatilia mambo katika websites mbalimbali za kielimu kam institutes na universities uweze kupakua na kujisomea prospectus za vyuo mbalimbali.mbona rahis sana? pia tembelea webs za nacte na tcu.
 
Back
Top Bottom