Kama huna cha kupost kaa kimya, nenda pale ofisini wambie kwakweli leo nimekosa kabisa cha kupost nadhan watakufikiria hata robo ya ujira wa siku, kuliko kupost kitu ambacho hata hakieleweki hata wachangiaji hawajui wachangie nini.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Kajifunze kwanza kupost huku sio facebookHizo ni files
None of them, naona amekuja kutukana tu vyombo binafsi vya habari..
yy chombo kizuri cha habari ni kile kinachosifia serikali,
alafu jamaa anainekana kichwani kwake hamna kitu.. toka lini chombo cha habari kikaweza kukwamisha maendeleo yanayofanywa na Serikali
Kungekua hakuna chombo hata kimoja kinachoeleza tukio tungesema. Tbc1 hurusha tukio mubashara umma huangalia na kupata taarifa. Uhuru, Mzalendo, DailyNews na Habarileo kwa magazeti. Uhuru Fm,na Tbc Taifa na Tbc International zinarusha matukio yote.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.
Swali, kuna nguvu Kubwa nyuma ya pazia kupitia vyombo vya habari, baadhi vinavyomilikiwa na wahuni wachache, ambao wanalengo la kukwamisha juhudi za mheshimiwa Magufuli, kwa kuamua kupotosha ukweli halisi wa hatua anazochukua dhidi ya uhalifu nchini dhidi ya raslimali zetu.
Je? Rais Magufuli atakwama kwa kua magazeti hayaandiki mazuri atendayo kwa taifa hili.
Je kwa Tanzania ya sasa source ya habari ni magazeti pekee?
Wakati mmoja kikwete alifanya mahojiano na swali aliloulizwa ilikuwa "Ungependa Watanzania wakukumbuke kwa lipi?" naye akajibu ya kuwa "wanikumbuke ya kuwa niliwatoa pale nikawaleta hapa".Naomba uitafakari kauli hiyo kwanza.Hakuweka ahadi ya mazuri wala mabaya na hii inaonyesha hekima kwani kwanza huwezi kumridhisha kila mtu.Jambo la pili na ambalo binafsi linanisumbua ni pale mtu aliyetoka chama kile kile ambacho kiko madarakani kwa zaidi ya miaka hamsini na mtu ambaye alikuwa katika serikali katika kipindi cha miaka 20 (ambayo ilivuruga mambo na kuifanya nchi kupinda) ndiye huyo huyo Masiah wetu kwa leo,kidogo napata kigugumizi.Kwanza ni mpongeze kwa kazi nzuri inayoifanya ya kujenga taifa imara.