Ni kweli hili linatumia REDBULL?!

Nnachojua kuna gari zinatumia wayne,mfano ya prince charles mtt wa malikia,
1lrt tsh 17,000,
haichafui mazingira
 
du kinywaji ambacho unakunywa kwa mwaka mara moja mtu anachezea
 
Ziltan; Hebu funguka kidogo kuhusu hapa!
Hapa Africa yetu magari hayo yamefika?


Nnachojua kuna gari zinatumia wayne,mfano ya prince charles mtt wa malikia,
1lrt tsh 17,000,
haichafui mazingira
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…