K Kidogo chetu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,432 Reaction score 993 Aug 4, 2012 #41 hivi ni kosa gani kubwa ambalo mwakyembe alifanya hata asitahili adhabu hii?
Singo JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,210 Reaction score 1,166 Aug 4, 2012 #42 Kama hatarudi kwenye hali yake ya awali, inasikitisha, naamini hiyo ni sumu kabisa.Ningekua mimi ni Mwakyembe ningejitenga na siasa na kuzama kwenye ibada.
Kama hatarudi kwenye hali yake ya awali, inasikitisha, naamini hiyo ni sumu kabisa.Ningekua mimi ni Mwakyembe ningejitenga na siasa na kuzama kwenye ibada.