zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
-
- #21
Zubeda, sijaelewa hio post yako yote ni wapi inatoa any proof or inclination kuwa Mwakyembe alipewa hio "sumu". Naona zaidi inaelzea sifa za hio Polonium.
Labda ungeandika signs and symptoms za polonium poisoning tuziringanishe na signs and symptoms za muheshimiwa Mwakyembe.
Aisee hizo kitu ni nouma! Hebu cheki hii ya Litvinienko na hiyo ya Dr Mwakyembe:
Litvinienko:
Dr Mwakyembe:
Haya mambo yanatisha sana!
Aisee hizo kitu ni nouma! Hebu cheki hii ya Litvinienko na hiyo ya Dr Mwakyembe:
Litvinienko:
Dr Mwakyembe:
Haya mambo yanatisha sana!
uyu mwakyembe mbona hafi tu kama kapewa sumu tuendelee na mambo mengine?
hatari ngoja kesi ifunguliwe tutajua mengi
Mwakyembe hakupewa Polonium, soma habari za polonium hapo kwenye hii link, utagundua kuwa ni vigumu polonium kuuingizwa Tanzania na haiwezi kuangukia mikononi mwa muuaji uchwara.:hatari::hatari:
Poisoning of Alexander Litvinenko - Wikipedia, the free encyclopedia