Nakuchukia sana JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 593 Reaction score 1,170 Sep 16, 2025 #1 Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu?
Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu?
Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 11,902 Reaction score 27,646 Sep 16, 2025 #2 kama said: Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Wewe unaonaje?
kama said: Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Wewe unaonaje?
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,876 Reaction score 11,177 Sep 16, 2025 #3 Pole wamekuacha mitini Kwa nini na wewe una kula hela ya mwanaume unafikiri inaenda bure ?
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,203 Reaction score 10,840 Sep 16, 2025 #4 kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine.Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Kijana wa fesibuku akitafuta likes jamiiforums 😂😂😂🚮
kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine.Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini.Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Kijana wa fesibuku akitafuta likes jamiiforums 😂😂😂🚮
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 8,381 Reaction score 24,715 Sep 16, 2025 #5 kama said: umtumie utakavyo Click to expand... Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli?
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 7,838 Reaction score 26,709 Sep 16, 2025 #6 Huwa wanatumia au wanatumiana mkuu??.....
Risk manager JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,807 Reaction score 17,361 Sep 16, 2025 #7 Umenitumia na yeye
trudie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 4,454 Reaction score 10,822 Sep 16, 2025 #8 Kamtumia au wametumiana???? Hayo mahitaji si yalikuwa makubaliano baina ya pande zote 2?? Kwanini ionekane mmoja ndio alikuwa anahusika?? kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu? Click to expand...
Kamtumia au wametumiana???? Hayo mahitaji si yalikuwa makubaliano baina ya pande zote 2?? Kwanini ionekane mmoja ndio alikuwa anahusika?? kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu? Click to expand...
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,754 Reaction score 25,596 Sep 16, 2025 #9 Kama una k nyeupe njoo kwangu dear.
Mangwea1900 JF-Expert Member Joined May 29, 2025 Posts 2,485 Reaction score 3,229 Sep 16, 2025 #10 Na ukute ametumia hadi mafuta ya nazi au KY
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,794 Sep 16, 2025 #11 kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Na kwanini jinsia ya kike iwe victim kwa the whole relationship? Mwanaume hana hisia ama? Ina maana mwanamke hana maamuzi yake ya kuamua asidanganywe? Hili la kuchezewa ni kichekesho Narudia kusema acheni kuwafanya wanawake kama special group
kama said: Wakuu ni kwanini wengine wanacheza na hisia za wengine. Haiwezekani umdanganye dada wa watu umtumie utakavyo,alafu ukishamaliza maihitaji yako unaingia mitini. Je ni sahihi wakuu? Click to expand... Na kwanini jinsia ya kike iwe victim kwa the whole relationship? Mwanaume hana hisia ama? Ina maana mwanamke hana maamuzi yake ya kuamua asidanganywe? Hili la kuchezewa ni kichekesho Narudia kusema acheni kuwafanya wanawake kama special group
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,813 Sep 16, 2025 #12 Ni kula na kuyeya
L Lamine yamal UDOM JF-Expert Member Joined Aug 18, 2025 Posts 279 Reaction score 340 Sep 17, 2025 #13 Endelea kupost vitu mkuu,utakuwa jf expert member soon.
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,095 Sep 17, 2025 #14 Kwasababu wanapenda kucheza
MBOKA NA NGAI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2025 Posts 496 Reaction score 768 Sep 17, 2025 #15 Xi Jinping said: Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli? Click to expand... Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi.
Xi Jinping said: Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli? Click to expand... Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,820 Sep 17, 2025 #16 The biggest coward is a man who awakens a woman's love with no intention of loving her.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,622 Reaction score 74,008 Sep 17, 2025 #17 Xi Jinping said: Hii kauli tata sana, kizomea choo kilipona kweli? Click to expand... 😁
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 51,622 Reaction score 74,008 Sep 17, 2025 #18 MBOKA NA NGAI said: Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi. Click to expand... Kuna watu Wana visa sana 🤣🤣🤣
MBOKA NA NGAI said: Kinini? Dahhhh nimecheka mpaka basi. Click to expand... Kuna watu Wana visa sana 🤣🤣🤣
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,203 Reaction score 10,840 Sep 17, 2025 #19 Joanah said: Na kwanini jinsia ya kike iwe victim kwa the whole relationship? Mwanaume hana hisia ama? Ina maana mwanamke hana maamuzi yake ya kuamua asidanganywe? Hili la kuchezewa ni kichekesho Narudia kusema acheni kuwafanya wanawake kama special group Click to expand... Hahaha wanaume hisia hatuna aiku hizi Over
Joanah said: Na kwanini jinsia ya kike iwe victim kwa the whole relationship? Mwanaume hana hisia ama? Ina maana mwanamke hana maamuzi yake ya kuamua asidanganywe? Hili la kuchezewa ni kichekesho Narudia kusema acheni kuwafanya wanawake kama special group Click to expand... Hahaha wanaume hisia hatuna aiku hizi Over
Afisa_Nkai Senior Member Joined Jul 5, 2025 Posts 186 Reaction score 277 Sep 18, 2025 #20 The weaker must die for the stronger to survive