Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Wakati chama cha KANU nchini kikitawala kwa muda mrefu nchini Kenya vyama vya upinzani viliungana kwa pamoja na kuunda chama kimoja ambacho kiliweza kuikiondoa chama tawala
Lakini huku Tanzania upinzani umeganyika sehemu tofauti tofauti ukiangalia kuna vyama kama vileee ACT,CHADEMA,CUF,NCCR,TLP na vyama vyote vina wafuasi wenye itikadi tofauti tofauti.
Ukijaribu kuangalia katika chaguzi zilizopita ukihesabu kura kuanzia udiwani na ubunge za 2015 utagundua kura za vyama vya upinzani ni nyingi kuliko chama tawala hivo kama wangekuwa wameungana ina maana wangekuwa na wabunge wengi na madiwani wengi.
Huko nchini Kenya baada ya kugundua hilo mwaka 2007 upinzani bila kujali itikadi zao waliamua kuuwa vyama vyao na kuunda chama kimoja na kukishinda chama tawala cha tanuu.
Hapa nchini Tanzania tunaelekea 2020 hivi ni kwanini upinzani kuanzia CHADEMA,NCCR,CUF,ACT, wakamuua kuviuwaa vyama vyao na kuunda chama kimoja kitakachoshiriki uchaguzi mkuu kuanzia udiwani hadi ubunge kama ilivyokuwa kenya.