Ni kwanini hii Ziara ya Lissu ya Sasa Huko Ughaibuni Haina Mvuto kama zile za mwanzoni Alizozifanya?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Ukifatilia vizuri utagundua jinsi uandikshaji wa wapiga kura umedorora huku kwetu ndo ilivyo hata safari ya Lissu huko majuu, hata ile hamasa ya kusikiliza atasema nini imewaishia watu, ni kwa sababu hakuna kipya tena anachoweza kuongezea tofauti na yale aliyo yasema mwanzoni au mabeberu wame....
 
Kawaumiza wengi walipogundua hana mpango wa kurudi nchini karibuni. Alikuwa tumaini la wengi kupambana na Magufuli kwenye urais 2020.
 
umeongea la maana mi naona hata amefanya hata uandikishaji umedorora, watu walikuwa na matumaini naye zaidi
 
Ukifatilia vizuri utagundua jinsi uandikshaji wa wapiga kura umedorora huku kwetu ndo ilivyo hata safari ya Lissu huko majuu, hata ile hamasa ya kusikiliza atasema nini imewaishia watu, ni kwa sababu hakuna kipya tena anachoweza kuongezea tofauti na yale aliyo yasema mwanzoni au mabeberu wame....
Badala na wewe ukijiandikishe unaanza kufuatilia mambo ya mwenzio .nyie ndo mnasababisha zoezi linaendelea kuwa ngumu makukonyokoza
 
Ukifatilia vizuri utagundua jinsi uandikshaji wa wapiga kura umedorora huku kwetu ndo ilivyo hata safari ya Lissu huko majuu, hata ile hamasa ya kusikiliza atasema nini imewaishia watu, ni kwa sababu hakuna kipya tena anachoweza kuongezea tofauti na yale aliyo yasema mwanzoni au mabeberu wame....
Kugombea nafasi mbalimbali za kiuongozi, kujiandikisha na kupiga kura ni wajibu na haki ya kila mmoja wetu. Ukiacha kuitumia kwa sababu ya kutazama watu au sababu za kuokoteza ni ushamba... mapema tu Jumatatu nimeshajiandikisha mtaa wa chuo kikuu kata ya Ubungo kituo cha chuo cha maji jirani na Njiapanda ya chuo tayari kwa kuwachagua viongozi wa mtaa wangu kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
 
Ukifatilia vizuri utagundua jinsi uandikshaji wa wapiga kura umedorora huku kwetu ndo ilivyo hata safari ya Lissu huko majuu, hata ile hamasa ya kusikiliza atasema nini imewaishia watu, ni kwa sababu hakuna kipya tena anachoweza kuongezea tofauti na yale aliyo yasema mwanzoni au mabeberu wame....

Lisu ni mme wa mtu, Baba wa watoto, hivi maisha yake yanakuhusu nini?
 
Kawaacha solemba....hawana "hamu" naye....ha ha haa! Mimi kaniudhi kugoma kurudi, maana nilimuombea sana apone ili aje ajionee mwenyewe jinsi watanzania aliotutakia mabaya tunavyosonga mbele kwa kishindo katika kujikwamua kiuchumi na kijamii. Hapo tu ndipo kaniudhi Lissu.
 
Back
Top Bottom