Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Vijana tujitume sana wakati umri bado una ruhusu unacho kipata kitunze kitakufaa uzeeni hii ni njaa inasumbua huyu MzeeJe Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza...
Hata katiba ikibadilshwa haituhusu magoma anatumia katiba ya 2010 kama sikosei, yanga fc wanatumia katiba mpya zaidi kuliko ya 2010, (new version)Kibongo bongo hatupendi kuongozwa na mifumo.
Sisi tuna enjoy kuongozwa na individuals ambao muda wowote, lolote linaweza kuwakuta. Tukipata leo inatosha, kesho itajisumbukia
Kama huna pesa kweny family,,Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?
Yule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama

......................................... hatumwelewi kwa sababu anaongea upuuzi mtupu.Je Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?
Kuna kitu Yanga wanahitaji zaidi ya mafanikio? Kama wanatapata wahangaike kutafta nini? Hizo juhudi angewekeza kwenye familia yake hata kama ni kweli yupo sahihi wenzake wamekubaliana yeye ni nani mmoja abadili mawazo ya wengi? Mfano Mzee Kilomoni alikua sahihi lakini sauti ya wengi ilimshinda akatulia, umri huo angekua busy na wajukuu apumzishe mwili hizo pirika za mahakamani anachosha mwili wake kwa vitu visivyo na faida kwakwe na kizazi chakeYule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.
Na hii ipo Kila mahala na ndo MAANA tuko hapa tulipo.
Magoma alindwe na ajilinde asije akapotea...anagusa maslahi ya marenga
Wwachawi wa mpiraJe Engineer Hersi alichaguliwa na nani na anawakilisha upande upi ? Wa GSM au Wanachama
Je mafanikio inayopitia yanga ndio yanatupumbaza ?
Je Pesa za usajili za GSM ndizo zinafanya tusimuelewe mzee magoma?
Mbona mzee Kilomoni aliyekuwa analinda maslahi ya Simba mlimuona takataka? Ukiona jambo la Yanga, Simba wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Simba na ukiona jambo la Simba, Yanga wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Yanga. Hivi vilabu vuwili hakuna anayefurahia kufanikiwa kwa mwenzie.Yule Mzee ana hoja za msingi sana. Siku likiwakuta yanga watamkumbuka. Leo hii likitokea la KUTOKEA Hersi atalinda maslahi ya GSM na sio ya club...ndo hivyo wabongo wengi vichwa maji na hawawapendi watu wenye maono na akili.
Na hii ipo Kila mahala na ndo MAANA tuko hapa tulipo.
Magoma alindwe na ajilinde asije akapotea...anagusa maslahi ya marenga
FactMbona mzee Kilomoni aliyekuwa analinda maslahi ya Simba mlimuona takataka? Ukiona jambo la Yanga, Simba wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Simba na ukiona jambo la Simba, Yanga wanalisapoti ujue lina manufaa kwao Yanga. Hivi vilabu vuwili hakuna anayefurahia kufanikiwa kwa mwenzie.
Ni kweli Hersi anapigania maslahi ya GSM, ila Yanga ipo hapa sababu ya GSM na mashabiki na wanachama wameridhika kwasababu wanaamini katika mchakato uliopo chini ya GSM.
Hatua ya kwanza ilikuwa namna ya uendeshaji wa klabu hilo limefanyika kwa msaada wa La Liga.
Hatua ya pili ni uadaji wa katiba hilo tayari na imepitishwa na hiyo katiba ndiyo inayotoa kibali kuwe na raisi, na raisi alichaguliwa kupitia mkutano mkuu wa wanachama.
Hatua inayofuata ni kuisajili Yanga kuwa kampuni na kuithaminisha Yanga ili kupata wawekezaji wasiopungua watatu.
Wakati mchakato wa transformation unaendelea kufanyika, GSM wanaendelea kuisimamia klabu ila mimi kama shabiki sioni jambo baya mpaka sasa hata kama GSM na Hersi wakiwa wanapata maslahi. Sababu ya kusema hivyo ni
1) Yanga wameipandisha thamani Africa hata ikitokea wawekezaji wakaja, wanakuja kuikuta Yanga ikiwa ni brand kubwa Africa. Saivi ukienda Africa kusini wanaijua Yanga na wanaizungumzia Yanga, ukienda Congo hivyo hivyo tofauti na zamani.
2) Kufanya vizuri katika mashindano ya CAF hakuna shabiki wa Yanga na mwanachama asiyependa, hakuna shabiki anayetegemea apate mgawo wa pesa kupitia timu bali ni mataji na kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali ikiwemo ya kimataifa.
3) Tunaona wachezaji wenye viwango na ubora pamoja na benchi la ufundi lenye ubora. Hata kama mtu anaiba ila anazingatia kufanya kitu kwa usahihi kwa zaidi ya asilimia 75 sio mbaya kwasababu tuona pesa inatumika kufanya mambo mazuri na makubwa na matokeo yake tunayaona viwanjani.