Ni kwamba hawa polisi wetu elimu hawana au hata hao viongozi wao waliowatuma? Video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwamba hawa polisi wetu elimu hawana au hata hao viongozi wao waliowatuma? Video

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mkongo, Nov 24, 2009.

 1. mkongo

  mkongo Member

  #1
  Nov 24, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuja tena na video kuonyesha msisitizo. Najua baadhi yetu mtakuwa mmeshaangalia video hizi za Unyanyasaji wa polisi wa tanzania (FFU). Ni kwamba elimu yao haiwatoshi? au viongozi wao waliowatuma pamoja na waziri wa wakati huo nao ni hivi hivi. Unaona kabisa mtu habishi kukamatwa lakini wanatembeza mkong'oto utafikiri wanapiga mnyama. Haya ni matumizi ya nguvu yasiyo na lazima. Lawama hizi ziwaeendee Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar. Nasema tena NAWACHUKIA SANA. Sijui mnajionaje mnapoamka asubuhi na Kuvaa Suti na kujitokeza mbele za watu. Sijui mnafikiri nini mnapotoa amri mambo haya yatokee au hata kuyaona na kukaa kimya. Jaribu kujibadilisha kidogo na kufikiri kama ungekuwa mmoja wa hawa wanaofanyiwa hivi vitendo vya unyanyasaji. Bonyeza kwenye linki zifuatazo kujionea mwenyewe [ame]http://www.youtube.com/watch?v=8vTs4Ue2cPs[/ame] [ame]http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU&feature=related[/ame]
   
 2. kalikumtima

  kalikumtima Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inatia huruma sana. Hizi ndizo dhambi mkapa anasema anamwachia Mungu naona.! Hawa jamaa huwa hawana huruma. wakikukuta na kipigo bila kujali unahusika na tatizo au la!
   
Loading...