Ni kumsifia Au kumdhalilisha

Nampongeza uamuzi huo wa Huyo mwanamke kumchukulia Hatua huyo HR ili iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, wengine wanasema angekaa kimya Nani ajuaye pengine ndio kazi angenyimwa kisa tu kagoma kutoa Uroda?

Huyo mwanaume anayevimba kichwa na kupost post Yeye Sina comment Juu yake, kwani kulambwa haina maana tu huyo ndiye aliyeomba na atakayepewa hutaambiwa.
 
Macho yangu yana kiza natafuta aliposema huyu mke wangu au mwanamke wangu lakini sipaoni ila naona anasema HUYU NDIE SAUDA OGA na DADA HUYU tu.
 
Kamsifia tuu, safi sana

Juzi hapa kuna mtu alisema ameajiriwa ila bosi ana mgegeda kila siku

*wako wachache sana wanawake wa namna hiyo apongezwe tuu
Huoni kama wamedhalilisha huyo jamaa "Joseph Mugire" ?

Hata hivyo uandishi wa hovyohovyo umekaa kitoto/ kijinga.
 
Ni kweli mkuu

Mimi akiniambia hivyo namwambia mkubalie.
 
Wewe unamwamini Mkeo kwa asilimia zote?

Mwanamke wa kuaminiwa ni mama yako tu.

Check out,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…