Kumbe umeiona na wewe enhee ngoja.amegewe then arud tenaMambo ya facebook bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23]..halafu takokulu ndo nini
Umenena afu nyie wanaume msituamini sana Kuna unakurupuka unajishushia hadhi. Hapo kaandika katuma huko kesho mwanamke analiwa na anajua atalipeleka kwenye media Au itabaki siri ya ndani. Mwanaume anaejielewa jambo hili angelifatilia kiundan na wakalimaliza lingeskika kijuujuu tu ila kwakitendo hiki mkewe ataishi mazngira gan Kuna watakaomtafuta mkewe kwa udi na uvumba ili asaliti wamkomoe. Mwanaume anaejielewa hawezi fanya hiviUkiona mwanamke anakuhadithia juu ya MTU aliyemtongoza jua kanyaboya hapo,kamuona halipi tu,,kama analipa anauchuna analiwa vizuri tu....,alitakiwa kikausha tu sababu kuna watu huyo mwanamke huenda anawapelekea bure bila kuomba sana
Sio skills tu hana busara mambo ya ndan anayapeleka tena waz Bila tfsida anaaminije huyo ndo ndo mwanaume pekee aliemtongoza huyo dada. Au kazibwa mdomo hapo anapandisha trust kwa mwanamke afu wajanja wanakula kirahisKosa sio lake, dah binafsi sijaona kosa LA ripota. Lengo lake ni kufikisha habari
Tatizo nowadays kila MTU ni journalist. Kila MTU ni ripota....alikosa skills kidogo za u Journalist
Trust a woman but don't believe herSasa usipo muamini mkeo utaenda kumuamini mwanamke gani dunia hii. Hapo funzo ni kwamba mabosi wenye tabia kama hizo waache, na wanawake watakaotaka kufanyiwa hivyo waepuke na jamii nayo ishtuke kwamba jambo kama hilo lipo na ushahidi ndo kama huo wa mke wa mtu.
Kule kwetu huwa tunaambiwa mkeo akikuambia kuwa jamaa fulani anamtaka / anamtongoza basi mwanaume anatakiwa umzabe kibao ikibidi au umpe onyo Kali sana aache kukuambia mambo ya yeye kutongozwa aau kutakwa na wanaume kwani wale atakao au aliyo wakubali hata kuambia hata mara moja kwa hiyo mwanaume kwa kupewa taarifa hizo ni kama kusanifiwa tu au tuseme kukutia ujingaSjamuelewa kabisa huyu mtu. Upumbafu Ni kuaminishwa uko peke yako ukatoka kujitangaza huku mnaokula wote wanakucheka. Aiseee
Moja ya negative effect ya Jf kwenye jukwaa la mapenzi imeshajengeka kwenye fikra zetu, hatunaimani na ndoa, hatuamini wapenzi na hatuamini wake zetu. Ni vyema mtu kujichunguza na ukiona umeshaathirika na huo ugonjwa niliotaja ni bora ujitoe kidogo kidogo au haraka kama umeshtukaTrust a woman but don't believe her
Kamsifia tuu, safi sana
Juzi hapa kuna mtu alisema ameajiriwa ila bosi ana mgegeda kila siku
*wako wachache sana wanawake wa namna hiyo apongezwe tuu
Mimi sijajua anaye msuspectje wanaokula bila wewe kujua wanakudharauje wewe? kuna usemi unaosema ukiona mkeo anakwambia fulani kanitongoza jua hajampenda ila angempenda hutasikia hizo hadithi