Jamani hili si jambo la kukalia kimya maana hii ni EPA katika mtindo mwingine lazima tujue nani alikula nini na lini na zimeishia wapi na sie tumenufaika vipi maana kila kukicha maisha yanazidi kupanda yaani afadhali ya leo kuliko kesho hapana kabisa.
CRDB all over again....!! EPA wao, Richmond wao, and if am not mistaken; Meremeta napo pia wanahusika. With all these fraudulent transactions exchanging hands at the firm, surely this must be one of the most corrupt banks in the country!!
Mtandao wake ni mpana kuliko unavyofikiri wacha aendelee kutuibia siku yake ikifika tutam-bagbo!
Its true... According to Benno Ndullu..one bank ilipewa shilingi bilioni 60 kwa ajili ya kuongezea liquidity ya benki isi collapse. Nina uhakika kwamba CRDB ilikuwa na mikopo ipatayo bilioni 120 ambazo wakopaji akiwemo RA walishindwa kuzirudisha kutokana na Global Economic Crisis (2008-2009). RA ni baadhi ya wakopaji kwenye sekta ya madini na miradi mingi haikuweza kuanza kutokana na wawekezaji wengi kukosa pesa za operations.
CRDB, NBC wamo katika listi ya beneficiaries wa Stimulus package....Hata faida waliyoipata mwaka 2010 imetokana na boos up za stimulus package.. Sasa tunaelekea wapi kama watu wanafanya uzembe harafu serekali inawafidia.. mbona wakipata faida hawakumbuki kui-support govt kutokana na ukata? Cha kushangaza ni kwamba Kimei mwenyewe akidhani kwamba atakuwa gavana wa benki kuu.. tuwe makini sana na watu hawa... kiasi chenyewe alichopata Kimeo (CRDB) ni Tsh60.54 billion ambazo zilienda kutunisha reserves za benki hiyo ambazo ziliporomoka kwa kasi sana mwaka 2009-2010. Ukitoa faida yao ghafi ya mwaka huu.. the real profit before tax ingekuwa ni bilioni 8 tu.
Wengine ni NBS- Tsh15 billion, Citibank (Tsh5 billion), Standard Chartered (Tsh10 billion). Nimejaribu kum-tress source wangu pale BoT amanithibitishia hilo.. but more will be coming soon... full list of illegal beneficiaries.
Sawa mie naona umejiunga leo sasa naomba nikuulize swali moja kwanza malengo ya stimulus package yalikuwa yapi?Jamani me nafikiri tunachanganya mambo mawili hapa.
Moja ni maisha binafsi ya Kimei ambayo hayana nafasi kwa watu makini kama sisi na ni ushamba kuyajadili hapa.
Pili ni Stimulus package,mwenye data kamili hebu azilete.
Kwa habari nilizo nazo sector zilizoathirika na mdodoro wa uchumi duniani ni* Kilimo (Pamba na kahawa) na* Utalii na Mahoteli.
Benki kuu ya Tanzania ilitoa kiasi cha TZS 18 billioni kwa Pamba na kahawa. Pesa hizi zilipwa kwa vyama vya ushirika na makampuni machache na si mtu binafsi.
Kiasi kikubwa cha pesa za kupunguza makali ya uchumi hakikulipa kama inavyotarajiwa kwenye sekta ya pamba na kahawa.
I stand to be corrected!