Ni kichefuchefu na inakasirisha!.

Ni kichefuchefu na inakasirisha!.

Abigail2011

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
519
Reaction score
230
Kama ungeniamsha usiku wa manane ukaniuliza nini kifanyike Tanzania sekunde hii!,Mimi.......... Ningejibu "MAGAMBA MUST GO".Haiwezekani eti nchi ina serikali,mamlaka ya dawa na chakula (TFDA),polisi,Jeshi mipakani,Mbwa na farasi wanaotengewa budget ya mamilioni;Leo unaambiwa kuna DICLOFENAC feki mitaani!;dhamana ya maisha yetu ipo kwa nani?.Eti ndugu zanguni wana JF!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hii siyo serikali sijawah ona kbs km rais tu anatoa kauli bado watu hawazitekelezi unategemea nini sasa
 
1235096_695509217129138_2090185939_n.jpg



Wanachojua ndo hiki hapa, Ebu angalia kinachoendelea CCM ni zaidi ya Shetani wa kuzimu
 
Wapinzani wajifunze karate na ngumi ili iwe rahisi kujihami
 
Acha kwanza watu wajionee wenyewe, ni kuvuna ulichopanda. Ili ifike siku wajue hiyo ndo serikali waliyoipigia kura inavyotenda kazi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pale kwenye lile jengo hakuna ninaye weza kumsikiliza zaidi ya Mh Pombe na Mh Mwa Kyembe wengine wanatafuta umaarufu wa kuonekana kwenye kamera tu hakuna jipya walilonalo, mbona wamenikinai nawaomba Watanzania uchaguzi unaokuja Bunge liwe na asilimia 25 ya wabunge wapya. tusiangalie umaarufu wao wa kuongea safari hii
 
Utafikili watumishi wa TFDA wanaishi mbinguni
 
Kichefuchefu na hasira zaidi, dawa za kufubaza virusi vya ukimwi kuchakachuliwa, uchunguzi sijui umeishia wapi, waliotuhumiwa wapo, wanapeta tu mitaani, wagonjwa wameathirika zaidi, sioni juhudi za kuwapigania, wamejificha wapi hawa,ni kama kesi iliyokufa kifo cha kawaida, maisha yanasonga mbele kama kawaida. Kichefuchefu na hasira. Kwa vyovyote dawa nyingi haziko salama, tunabugia tu liwalo na liwe.
 
Hapa naona wabunge ni kama mbwa koko awajuhi wanalolifanya ila bac bhana "vua gamba vaa gwanda"
 
Back
Top Bottom