Thanks!Naaaamm! And this is life... Some time u should trust your weapons... Kama philosophia yako ina doubt huyo sio mtoto wako basi hiyo ndo conclusion ambayo milele utakuwa nayo. Imeshajijenga kwenye akili kwamba mtoto ni miezi 9 na philosophia ya akili zetu ikajijenga hapo. Sasa kama umelea mimba kwa miezi 7 mtoto akazaliwa hiyo ipo against your philosophy. Trust me hata kila mtu akikushauri huyo ni mtoto wako hutaamini kamwe, na sidhani hata kama ukithibitishiwa ni wako utampa mapenzi yote kama mtoto wako. Bad lucked baby with cataclysmic future....!! And this is life...
- :yo:
Nashukur,pia kazana kujifunza kiswahili karibia unaelewa..Mmmh!! kama ni pre-mature huyo mtoto anaweza akawa wako ila kama sio hivo hapo sijui kwa kwel, Ila nyie watoto mna hatari sana, mtu ulieachana nae then mnakutana baada ya muda kupita alafu mna do bila condom hivi mlishirikisha ubongo kweli?????????? wewe unajua huko alikozunguka yeye??? na yeye anajuaje ulikozunguka wewe???? HAMNA AKILI WOTE
Mmmh!! kama ni pre-mature huyo mtoto anaweza akawa wako ila kama sio hivo hapo sijui kwa kwel, Ila nyie watoto mna hatari sana, mtu ulieachana nae then mnakutana baada ya muda kupita alafu mna do bila condom hivi mlishirikisha ubongo kweli?????????? wewe unajua huko alikozunguka yeye??? na yeye anajuaje ulikozunguka wewe???? HAMNA AKILI WOTE
Nashukur,pia kazana kujifunza kiswahili karibia unaelewa..