Habari,kuna dogo hapa wa kiume kwenye boundary ya testis(mayai) zake na mapaja kuna kama layer au utandu ambao umefika mpk mapajani kidogo,
Na ukifika wakati fulan (joto) huwa kama kunatoa ungaunga mweusi...
Je ni kawaida au kuna tatizo?

Ndio ni fungus na hata mimi nilikua na tatizo kama hilo bahati nzuri nilitibu vyema na sasa nipo safi kabisa. Kikubwa atibiwe na azingatie usafi ni muhimu sana