Nice responding braza, I like it...Wazo zuri sana hata kama halina maelezo yote yaliyokamilika lakini nia na uthubutu hua haishindwi.
Tatizo ni kuwapata vijana/watu watakaokua committed na kuwa na uvumilivu wa kulitekeleza hilo wazo.
Tupo kwenye kizazi kinachotaka mambo ya haraka na matokeo ya hapohapo bila kuwa tayari kulipia gharama.
Nice responding braza, I like it...
Mi ni IT(degree) ila sijui mchanganuo wa biashara ni idea tu , ndo maana nikaolozesha baadh ya wataalam uchumi na biashara n.k wanaoitajika kwenye group(members). Naomba nisomek sio lazima ukiwa na idea unaweza kufanya au unauzoefu, ni mawazo tu..Shukrani kaka, cha msingi usikate tamaa. Ningeshauri vile vile kama utaweza ukaeleza kidogo wewe una uzoefu gani au utaalam wa fani gani. Japo sio muhimu sana ila itasaidia kidogo kuonyesha unamaanisha unachokisema. Nia ya dhati na uthubutu ukiongeza na kutokata tamaa, bidii na maarifa havitakutupa kamwe. Huenda isiwe rahisi lakini kuna siku utapata matokeo mazuri.
Tell everybody else what you want to do but show it first.Habari wanaJF, nimepata idea kama ya saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inatengemea na idad ya members na mtaji ambao tumejiwekea kwakufanya investment kwenye sector flan mfano kilimo,ufugaji n.k kwa lengo la kila members kupata interest kwa kila mtaji tutakao anzisha. Katka members wao nilkuwa nataka kuwa na wataalam mbalmbali kama wa kilimo, mifugo, uchum na biashara na IT kwajir ya kutengeneza platform ya biashara. Lengo kuu ni kukusanya mtaji ambao utatusahidia kutengeneza business opportunity. Tuliowengi tunaideas lakin atuna mtaji, ufumbuz ni kutengeza platform ambayo inaweza kusaidia kutmiza malengo ya kila mmoja tukiwa straight forward.
Kama kuna mtu anaweza kuongezea mawazo hapo its okay unakaribishwa .
Nawakilisha asanteni.
"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success"
Good idea, nimeichukuaWazo zuri sana mkuu, ningeongezea kwa kusema tafuta watu wasio zidi watano na wasiopungua watatu, mnaofanana kitabia, wote wana hari kama yako, wana hamu ya maendeleo, wanataka kuumia. Nasema hivi maana ilitutokea sis tulikuwa tunakikundi, cha mtu tano, tukapata kamkopo kaa m2, tukaanzisha saiti ya kufyatua tofali, ila wale wenye tabia chafu walituangusha, na kusababisha saiti ikafa, so tafuta watu ambao you know them alot, ihapokuwa ni vigumu, ila ikishindikana, jaribu kuwaamin wote hivyo hivyo, ushauri mngejenga kukindi na mkisajili mapema kwa viongozi wa serikali za mitaa, maana kuna mafungu ya serikali pia yanakuja, yatasaidia kupiga hatua, mim nipo moshi, namalizia bachelor ya statistics and mathematics as well a research and project management,,, kama mpango iatafika mwezi wa saba I'll be free to join you.... good luck
Boss mimi ni muumini wa partinership lakini watu ni wagumu kujitolea wanataka leo na kesho waone pesa, hata hivyo ni wazo zuri nipo tayari kuungana nawe, tafuta muda tujadiliHabari wanaJF, nimepata idea kama ya saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inatengemea na idad ya members na mtaji ambao tumejiwekea kwakufanya investment kwenye sector flan mfano kilimo,ufugaji n.k kwa lengo la kila members kupata interest kwa kila mtaji tutakao anzisha. Katka members wao nilkuwa nataka kuwa na wataalam mbalmbali kama wa kilimo, mifugo, uchum na biashara na IT kwajir ya kutengeneza platform ya biashara. Lengo kuu ni kukusanya mtaji ambao utatusahidia kutengeneza business opportunity. Tuliowengi tunaideas lakin atuna mtaji, ufumbuz ni kutengeza platform ambayo inaweza kusaidia kutmiza malengo ya kila mmoja tukiwa straight forward.
Kama kuna mtu anaweza kuongezea mawazo hapo its okay unakaribishwa .
Nawakilisha asanteni.
"Coming together is a beginning, staying together is progress, and working together is success"
Good idea, nimeichukua