Ni jukwaa lipi unadhani linaongoza???

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nijukwaa gani unadhani linaongoza kwa kuwa na michango mingi?(Thread's)Hapa JF?
 
yote yanaongoza in their owan way.
 
siasa na mmu hayashikiki, na hili chit chat linajikongoja.
 
du kama mkuu alivyosema SIASA ikifuatiws na MMU ni balaaa tupia chini ya uvungu.
 
jukwaa la siasa ndio mpango mzima,mbona kila kitu kinaoneshwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…