Kevoo_keroo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 771
- 163
Katika historia ya nchi yetu siku ya kesho jumapili watanzania tutapiga kura kuchagua viongozi wa nchi yetu. watanzania wanataka yafuatayo kutoka kwa viongozi watakaowachagua
1. rais mwenye uwezo wa kushughulikia suala la ufisadi kwa vitendo
2. rais atakayeweka mazingira mazuri katika kuongeza kipato cha mtanzania mmojammoja na apato la taifa kwa ujumla
3.rais atakayeweka mazingira mazuri kwa kila mtanzania kufaidi hazina ya nchi yetu
4. rais atakayedumisha amani, umoja, muungano, na atakayewajali wananchi wote bila kuwabagua
nilipoona kiu hiyo ya watanzania nikaangalia list ya wagombea wote wa urais na ndipo nikagundua kuwa kumbe kiu ya wapiga kura ni mtu mmoja kati ya wale nane wanaogombea urais ambaye ni Dr. John Pombe Magufuli. huo ndio utakuwa wimbo utakaoimbwa katika karatasi za wapiga kura kesho. nasubiri kwa hamu kuapishwa kwake ili watanzania wajionee jinsi kazi inavyofanywa.