Ni ipi njia rahisi ya kupata files zangu bila kuformat HDD? (RAW to NTFS)

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
Gurus,

Data zilizomo ni 200+ GB.

Muhimu sana. Nimejaribu kudownload software ya EaseUs inascan na kuzipreview data zote lakini inadai serial keys ili kuweza kuzirecover. Je, naweza kupata software au trick mbadala itakayonisaidia kuzipata data hizo?

NB: Hii Drive imebadili format type from NTFS to RAW. Hivyo ili ifanye kazi, nalazimika kuirejesha kwenye NTFS.

Naomba msaada wa haraka. Nimekwama.
 
Lakufanya ni hili
Bonya win flag key the kwenye search andika cmd then ifungue kama administrator au bonya win flag key + r then cmd alafu fanya yafuatayo
 
Asante sana boss. Naona ni cracked kabisa.

Kama hutojali, unaweza kushea uzoefu wako na ilikusaidiaje ulipoitumia? Like haina limit ya kiwango cha files to be restored?

ndio mkuu haina limit ipakue uifanyie kazi
 
Mkuu tejay nimerejea.. Tangu jioni nimejaribu kufungua link nakutana na error hii. Navukaje hapa?
IMG_20181020_225443_665.jpeg
 
format hiyo drive kutoka raw to ntfs then tafuta software inaitwa diskgetor data recovery installl kwenye drive tofauti na unayo taka kurecover data then chomeka external drive yako start disk getor chagua OPTION INAITWA RECOVER FORMATED PARTITION ANZA KURECOVER

KEY ZAKE HIZI HAPA ITAKUDAI MWISHONI BAAADA YA KUSCAN

KEYS:
Register user name--------Rigel//TSRh
Serial Key : 983CB0F1CBC8D828
DOWNLOAD HAPA SOFTWARE

http://www.tewasnenec.com/lrje2yw/Installer_diskgetor_data_recovery_3.55.exe

USIPOELEWA
CHEKI HAPA
 
Gurus,

Data zilizomo ni 200+ GB.

Muhimu sana. Nimejaribu kudownload software ya EaseUs inascan na kuzipreview data zote lakini inadai serial keys ili kuweza kuzirecover. Je, naweza kupata software au trick mbadala itakayonisaidia kuzipata data hizo?

NB: Hii Drive imebadili format type from NTFS to RAW. Hivyo ili ifanye kazi, nalazimika kuirejesha kwenye NTFS.

Naomba msaada wa haraka. Nimekwama.
cracked itakufaa mimi nilisha format data 320GB hivi nikaja ila nilitafuta EaseUs cracked nikazipata karibu asilimia 95 ya data cha muimu ucheki youtube jinsi ya ku cracked mchezo umeisha.
 
Appreciated mkuu. But siyo risk kubwa kweli kuformat drive kwanza ndugu yangu? What if nimeformat halafu software ikamisbehave si itakuwa majanga plus!!!

Na, nimeona maelezo ya sehemu mbalimbali yakisisitiza kutokuformat mpaka recovery ikamilike.

Niondoe hayo mashaka mkuu maana hizi data nikizipoteza itakuwa ni bonge la hasara.
 
cracked itakufaa mimi nilisha format data 320GB hivi nikaja ila nilitafuta EaseUs cracked nikazipata karibu asilimia 95 ya data cha muimu ucheki youtube jinsi ya ku cracked mchezo umeisha.

Asante sana. Nitapitia huko kucheck. Japo naamini bado kuna walionazo hizi cracked wanaweza kushea hapa.

Ubarikiwe mkuu!
 
Mkuu jana kuna mambo yaliingiliana nikashindwa malizia

Sasa baada ya kufungua cmd au command ni lazima ujue disk letter yako unayotaka kuibadilishia format kama ni drive C, D, E etc let take example tunataka kubadili drive D, nitaandika hiviii kwenye cmd yangu

D: /FS: NTFS kisha bonya enter

General format ni
: /FS:
Nawasilisha
 
Mkuu jana kuna mambo yaliingiliana nikashindwa malizia

Sasa baada ya kufungua cmd au command ni lazima ujue disk letter yako unayotaka kuibadilishia format kama ni drive C, D, E etc let take example tunataka kubadili drive D, nitaandika hiviii kwenye cmd yangu

D: /FS: NTFS kisha bonya enter

General format ni
: /FS:
Nawasilisha
 
Gurus,

Data zilizomo ni 200+ GB.

Muhimu sana. Nimejaribu kudownload software ya EaseUs inascan na kuzipreview data zote lakini inadai serial keys ili kuweza kuzirecover. Je, naweza kupata software au trick mbadala itakayonisaidia kuzipata data hizo?

NB: Hii Drive imebadili format type from NTFS to RAW. Hivyo ili ifanye kazi, nalazimika kuirejesha kwenye NTFS.

Naomba msaada wa haraka. Nimekwama.
ipo easeus crack pale getintopc.com
 
Back
Top Bottom