Unazani mfanyabiashara gani atakupa risiti ya bei uliyonunulia bidhaa labda atakuwa chiziNaunga mkono, nmenunua mafuta total ya morocco pale, nimenunua wese la 50k nikapewa risiti sasa kuicheki home nakuta ya elfu30. Na wakati inatoka nilikua naiona kwa macho
Unazani mfanyabiashara gani atakupa risiti ya bei uliyonunulia bidhaa labda atakuwa chizi
Watu wengi msichokijua wafanyabiashara wanawakwepea kodi nyinyi wateja bidhaa tunazonunua nyingi sio bei halisi ni ya chini sana
Wakuu wakati wa mwenda zake maduka yalifikia hatua za kukulazimisha kabisa kuchukua receipt ya electronic.
Baada ya Mwenda zake kuondoka maduka karibia yote yalikoma kutoa labda baadhi ya maduka tu.
Sasa nashangaa hata Petro station nazo zimeanza kuto kutoa receipt.
Hahaa kitu Mama asicho kijua watanzania kulipa kodi kwa hiari sio utamaduni wao na ni kitu kisicho wezekana.
Kama sasa tu hata receipt hazitolewi tena huo ulipaji kwa hiari utatoka wapi?
Nani aliyekudanganya maduka mengi tu kariakoo ukijifanya unataka risiti halisi wanakugomea kuuza bidhaa TRA walikuwa wanapika data mashirika mengi yalikuwa yanaishidwa kujiendesha mikopo ya kimya kimya ndio ilikuwa inatubustEnzi za magu haikwepo hii