Ni hatari, Masasi kuna upungufu wa kinga(condoms)

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,691
40,944
Ni kweli kabisa,

Masasi hali ni mbaya, zinahitajika juhudi za haraka, ukipita madukani, hakuna kinga, watu wanajamiiana bila kinga...

Ni hatari.....

Wadau wakumbukeni ndugu zetu wa masasi...Ukimwi unawamaliza...
=================================




Source:Guardian
 
Mh kinga si kondom tu hata kuacha kufanya ngono ni kinga pia
kwa wale wasioweza kujizuia inabidi kuwasaidia kuwalinda, tunawahitaji...it is a serious case..
 
wachague moja kuacha uzinzi au kupata ukimwi, mungu alishakataza zinaa! hilo halina mjadala.
 
Ahhhhh wife wangu hakimu hapo so naye anapigwa kavu kavu bila mate
 
Daaah hatari,sasa hapo uelewa mdogo,wenye nazo wanatumia harafu wanafua na kuwaazima wenzao.....
 
Vipi 'rambo' haziwezi kusaidia kwa mda wakati mnasubiria zana zenyewe?
 
Yawezekana mgao uko sawa kama kwingine ila matumizi yameongezeka extraordinarily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…