**NI FORMATION IPI HAPA TZ IKISIMAMA INAWEZA KUFANYA VIZURI NA KUFIKA MBALI?**

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
8,518
25,438
kwa kule spain utakuta formation ya Barcelona kwenye ushambuliaji ni MSN na ukienda Real Madrid utakuta ni BBC.
sasa nauliza kwa hii timu yetu ya Tanzania ni formation ipi kwenye upande wa attackers ikisimama inaweza kuwa kali kama hizo nilizozitaja hapo juu?
kama tukimuweka Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na itakuwa ina makali yoyote kwel kulinganisha na zile za Spain au kuzikaribia?
Karibuni tujadili labda kocha Boniface Mkwasa anaweza akapita huku Jf na akapata chochote kitu na akakifanyia kazi na timu yetu ya Taifa ikafika mbali kama ilivyokuwa hizi timu za Spain.
 
hii combination naona imekaa vizuri
Ndio mkuu, hajibu ni mzuri sana katika assist na kufunga, pia ulimwengu ni mzuri sana katika assist kuliko kufunga na samatta ni mzuri katika kufunga na kutoa assist. Hivo hii combination ndo itakuwa na madhara
 
Back
Top Bottom