Ni emoji gani kwenye simu yako au ukiiona sehemu unaipenda kuliko nyingine zote?

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Basi bhana hakuna emoji ninayo ipenda kama ya kicheko cha machozi ile ndio imenifanya nizipende nyuzi nyingi za watu hata kama kaandika upuuzi/no point ila nitajikuta naukubali sana uzi/thread yako kwanza nikiiona tu kwenye comment za wana hata kama aliandika kitu cha kuhuzunisha lazima nicheke vp kwa upande wako emoj gan imekuteka roho.
 
IMG_1937.jpg
 
Back
Top Bottom