Ni dhahiri Sasa mafisadi wameanza kujulikana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,569
44,790
Suala la ufisadi limekuwa liikimbiwa wimbo kila siku lakini tulikuwa hatuwajui mafisadi wenyewe.ila kwa Sasa tumeanza kuwajua.Bahati mbaya sana watu mategemeo Ni kwamba mafisadi lazima wawe kutoka majina makubwa ya kisiasa lakini mjue kwamba Tanzania ilikuwa imeoza kweli.

Mafisadi ndio hao hao wanaotapeli wakulima ,mafisadi ni wale waliokuwa katika mtandao wa wauza madawa.waziri wa sheria tumeona kazi zako unafanikiwa wenye nchi tunafurahi kwa Sasa kila sehemu inajitumbua yenyewe.

Wasiolipa Kodi wanajulikana na ndio maana mabadiliko ya kisheria yanalenga pazuri kubadilisha mazoea ya mifumo.
Mitaandao yote ya mafisadi imemulikwa ikiwemo njia wanazotumia kuingiza hela chafu.

Mategemeo yangu Serikali itakwenda kupaangalia kwa kina eneo la utalii.Bandarini tushawadhibiti vizuri kwenye NGO"S tunaendelea kubadhibiti ili zifanye malengo hususa.mafisadi wengine wapo kwenye taasisi za makanisa Fulani hapa nisipasemee Sana
 
Si wale waliogoma kutoa maelezo ya kueleweka kuhusu ile TRILLION 1.5 yetu?

Hakika wameanza kujulikana bila shaka.
 
2020 Inazidi kukaribia kudaadeki!!!...kuna watu hawalali bila vidonge haahaaa!!!...fred lowassa mbona uko kimya sana safu inatakiwa ianze kupangwa mdogo mdogo
 
Wewe familia yako unaitafutia chakula muda gani, au hii kazi unayofanya inalipa sana?
Hana familia huyo.....anakula kwa dada yake alo-olewa, hapo kisha-pata breakfast anasubilia kuitwa kula cha mchana
 
Hana familia huyo.....anakula kwa dada yake alo-olewa, hapo kisha-pata breakfast anasubilia kuitwa kula cha mchana
Mimi kazi yangu Ni kuhakikisha mambo fulani.na nimeyashuhudia yote yaliyowahi kusemwa
 
tz}chad.gif

Tunasonga mbele safari hii majeshi yaleteni huku ufipa na vifaru na mizinga ya masafa marefu halafu na mkuu wa mkoa aanze kukatika wakati BM zinapolaunch tubes hahahah
tz}chad.gif
tz}chad.gif
 
Tangu uhuru, 1.5trl ni rekodi
Ndo utaamini katibu mwenezi ana minyoo ya aina 150 hela zote hizo na za manunuzi lakini hata kunawiri hamna afazali mwenzake mkuu wa mkoa ameanza kujazajaza
 
Kwanini hawapelekwi mahakama ya mafisadi?
Naona na wewe unaendelea kuimba kama kawaida yenu.
 
Back
Top Bottom