hapana, kutokana na ukilaza na ushamba wa viongozi wetu, dhahabu yetu bado ni $ 250 an ounce. Nasema ushamba kwa sababu nimeshuhudia viongozi wetu kwenye mikutano ya maana ya kuwakilisha nchi wakiomba kupiga picha na wazungu wakaoneshe nyumbani badala ya kujadili maslahi ya taifa. They are usually overwhelmed on every aspect of negotiations. Ingechangia pia majadiano yangekuwa kwa kiswahili na wazungu waje na wakalimani wao.