Ni Daressalaam si Mbeya!!

Huyu mleta mada kajipa kazi asiyoiweza. Tatizo la barabara na miundombinu mingine ni la nchi nzima lakini presentation yake kwa kweli ni kichefuchefu.

Yani ni kama Mbeya na Makete ni sawa kuwa na barabara mbovu na sio Dar eti kwa kuwa kuna makazi ya viongozi na bla bla zake zingine za hovyo.

Itoshe tu kusema the topic is way out of his/her league.
 

Kwavkukazia tu, Ilala ambayo ni Manispaa inazidi kwa ukusanyaji kodi kuliko Majiji yote ambayo siyo Dar es Salaam
Kinondoni ambayo ni Manispaa tu, inazidi jiji lolote lile kati ya majiji tuliyo nayo nchini Tanzania kwa Idada ya Watu.
Itakumbukwa wakati fulani, jimbo la Ukonga lilikuwa na wakazi lak7 , Idadi kubwa kuliko Jiji la Arusha, Idad kubwa kuliko jiji la Tanga au Mbeya. Wakati huo Ukonga ilihusisha na Tabata pia kabla ya baadae kutenganishwa.

Hivyo ni kweli Dar es Salaam kibongobongo ina vitu inayazidi majiji yetu. Ila ni kibongobongo,nje ya hapo hamna kitu. Pamoja na jayo jiji la Dar nadhani ndilo chafu kati ya majiji tuliyonayo hapa Tanzania!
 
Mkuu wote tumemwelewa vizuri sana lakini mtoa mada anasahau kuwa watu wa Mbeya ni very proud.
Akileta siku nyingine picha ya omba omba hapa jamvini na akasema anafanana na watu wa Mbeya, mada itafurika utetezi wa mkoa na kumkandya, ingawaje ni kweli kuna masikini Mbeya.
 
That's my point, kama unaweza endesha baharini na vilindi vyake, basi lazima utaweza kuendesha kuvuka mlima Rungwe na Livingstone Ranges.

Pointless!! Kwetu ni MAKETE na husafiri kutoka Bulongwa mpaka Tukuyu Mbeya!! huwa siioni BAHARI!!

ni barabara yenye kero tu!!
 

Unanilazimisha kuwaza uwazavyo wewe mkuu!!

Wapi nimesema ni halali Mbeya kuwa na barabara mbovu!! Nioneshe andishi langu!

Kama ni mzuri kwenye uandishi utagundua katika mada yangu neno "Mbeya" limefungwa! Hii humaanisha si rasmi!!

Nimelitolea ufafanuzi hapo juu kuwa lengo halikuwa kuidiss Mbeya bali 'kusherehesha' mada. Wenye kuelewa wameshanielewa tangu. Pole ikiwa ni magumu kwako kuelewa! Si kosa kwani si kila andishi kinaeleweka kwa wote!!

Sikitiko langu ni Jimbo la UKONGA Dsm kuwa nyuma kimiundombinu kuliko majimbo yote labda!!
 
Ongezea na miundo mbinu mibovu ya afya na usaf wa mazingira ambayo inasababisha magonjwa kama kipindu pindu

Halijapimwa na watu wanaishi wamesongamana pamoja na kwamba wajanja wote wanaishi pale

Joking but ndo hali halisi ya Dar
 
...huu kama msitu wa sao hill mufindi, tukuyu kuna msitu wa kupandwa...?

Bora useme wewe kaka! Mimi kwa haraka naona ni kama barabara ya Makambako Njombe vile!!
Nadhani lakini na hii si Tukuyu!!
 

acha dharau kwani Dar sio mkoa?? na hapa ndipo napo waonaga wakazi wote wa Dar nimalimbukeni,hivi ni mkoa upi kwa Tanzania ya leo sio potential
 

So, stick na ukonga yako eleza masikitiko yako ishia hapo. Wala usifikiri ulichofanya hapo ni umahiri wa uandishi al all.

Andiko lako limejaa ambiguity wewe unasema nikuonyeshe unachotaka nikuonyeshe, yet unadai uko vizuri kiuandishi. Hoja ya ubovu wa barabara imeeleweka ila mambo ya kuchanganya mbeya humo ndio umeharibu.
 

Nadhani kuna wanaolazimisha LIGI!
So chukua KOMBE mkuu!
 

mkuuu umesahau kumwambia kuwa dar kuna nuka vinyesi na vimetapakaaa kila mahali.watu wanalala kwenye vinyesi wana shinda kula na hata kukaa kwenye vinyesi pia.

kipindu pindu huwa kinatikisa sana dar es salaam kisa mji ni mchafu sana.

inamaana watu huwa wanakula sana vinyesiiii
 
msitu wa kupandwa tukuyu upo ila hapo nnawasiwasi kama kweli ni tukuyu

...msitu wa mbeya haupo ndo a barabara kama sikosei, upo milimani msitu wa mby...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…