Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,231
- 6,471
Dorice nae ni celeb?Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja
Jack Mengi??Jokate, Jacqueline mengi, na Dorice mollel anakujakuja
Ndio,,,Dorice nae ni celeb?
EeeJack Mengi??
Aliupatia wapi huo uceleb? Una uhakika unaweza kwenda kwenye kundi la watu 100 wa kawaida wakawa wanamjua huyo binti?Ndio,,,
Mimi ndio namsikia hapa na sio Mkolomije! Sasa hao wa bush itakuaje?Aliupatia wapi huo uceleb? Una uhakika unaweza kwenda kwenye kundi la watu 100 wa kawaida wakawa wanamjua huyo binti?
Watu wakaida ndo nani,, mana huku uswahilini kwetu hata jack mengi hawamjui,,wanajua wema na diamond tuAliupatia wapi huo uceleb? Una uhakika unaweza kwenda kwenye kundi la watu 100 wa kawaida wakawa wanamjua huyo binti?
Ndio hapo mkuu.. Labda wengine hatuelewi maana ya celeb..Mimi ndio namsikia hapa na sio Mkolomije! Sasa hao wa bush itakuaje?
Jack amefahamika kama Kyln na Miss Tanzania kwa miaka mingi.. Ameshafanya kazi kadhaa za mziki pia. Wasiomfahamu labda watoto wa kuanzia 99 na kuendelea..Watu wakaida ndo nani,, mana huku uswahilini kwetu hata jack mengi hawamjui,,wanajua wema na diamond tu
Huu uzi upo tricky, nadhani wanawachimba watu wafunguke maana kuna watu wanatajwa hapo sion hayo mafanikioJack amefahamika kama Kyln na Miss Tanzania kwa miaka mingi.. Ameshafanya kazi kadhaa za mziki pia. Wasiomfahamu labda watoto wa kuanzia 99 na kuendelea..
Huyo Dorice uceleb kaupatia wapi?