Bora sisi kuliko wao mkuuHahhahahahahahahhahaha hii counter ama?
Dada kaja kwamba wanaume tunanuka, wewe tena umegeuza upande wa pili kwamba wadada wananuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hatawaogei dawa ya chooni wananuka mkuuHabari wanabodi,
Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.
Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.
Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la tikio,unaamua kumcall,honey mbona hujatokea?
Anakukibu sorry nilikuwa naoga.
Akifika eneo la tukio mnaanza majamboz,mara ukipeleka mkono sehem nyeti na kuunusa unakumbana na harufu Kali!!!!
Sasa me huwa najiuliza hivi huyu dem si kachelewa kufika kwasababu anadai alikuwa anaoga?sasa inakuaje mtu alieoga anuke kiasi hiki?au alioga maeneo mengine huku hapahusiki??
Wadada hebu badilikeni,haiwezekani kila kukicha tunawaambia kuhusu usafi sehemu zenu lakini hamuelewi.
Kama vip acheni kuoga kabisa ili tujue kuwa hamuogi,kuliko kujinasibu mnaoga kutwa mara tatu,haliyakuwa bado mnatoa harufu kali!
Duh!!!Mmmh ila kweli kuna wanawake wananuka K balaa yaani mpaka kichwa kinauma aisee kwa harufu inayotoka huko .
Ohooooo!!!
Ninamashaka na naww,nahisi jiwe limekupata tena la ugoko.Sio wadada tubadilike......huyo girlfriend wako kama ananuka sio wote tunanuka......kwani umeshindwa nini kumwambia ukweli kama ananuka au unamuogopa
Kama girlfriend wako ananuka na hauwezi kumwambia abadilike basi pambaneni na hali zenu
Duuuuh nimetokwa na povu aiseee
Kwa naye chini mzungumze mkuu, kuwa tuu makini na tafuta namna nzuri ya kumuelezea, atakuelewa na mtaenda kumcheki Dr mtapata tiba nzuri maisha yatasonga mbele.Bora sisi kuliko wao mkuu
Yah ni kweli nanuka period!Ninamashaka na naww,nahisi jiwe limekupata tena la ugoko.