Mayele na Nabi kubaki Yanga labda tuwe na msuli mkubwa wa kifedha, ila Mayele yule sokoni anakaribia USD 500 na sizani kama Yanga wataiacga,Nabi mafanikio aliyo yapata msimu huu lazima wenye vibunda waweke mzigo hasa waarab.
Natamani sana Nabi abaki, Mayele akionda sio mbaya.Ila kutafuta kocha mpya nakuanza kuiunda timu mpya,aingize falsafa zake wachezaji wazielewe,inaweza ikachukua mda kidogo.