Ni aina ipi ya simu ni bora zaidi?

Ommie2009

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
12
Reaction score
2
Nahitaj cm bora yenye gharama (bei) ya kawaida yaani kati ya 100000 na 150000/=. Je ni aina gani ya cm wadau inafaa zaidi?
 
Nahitaj cm bora yenye gharama (bei) ya kawaida yaani kati ya 100000 na 150000/=. Je ni aina gani ya cm wadau inafaa zaidi?

Mkuu, unahitaji nini?? hapa sio facebook!!
 
Ingia JUMIA leo kabla ya saa 6 usiku uweke oda yako ya hii simu huawei y625 yenye punguzo ya 52%

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…