chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 118
Swala la kufukuza wamachinga katika barabara ya mwendo kasi nizuri sana ila kuna swala mm nahisi police watakiwa wapewe ufafanuzi, kwani sasa wamekuwa wakiwanyang'anya hata wauza naji wale wanao tembeza kichwani swala la kusitaajabisha na lakutia aibu kwa jeshi letu la police waki mkamata muuza maji hapelekwi popote na kinacho fuata yale maji wanagawana kisha wanakunywa.
Hii niaibu kubwa sana na niuporaji huo kweli wametumwa wafanye hivo? Inasikitisha sana.