symwo Senior Member Joined Jan 15, 2014 Posts 152 Reaction score 49 Jul 5, 2014 #1 Jamani kwa wale wadau waliokuwa wanasubiri kuitwa kazini NHIF, watu wameshaitwa tayari na orientation wanaanza jumanne, kwa wale waliopata kazi hongereni na kwa wale waliokosa msikate tamaa till next year.
Jamani kwa wale wadau waliokuwa wanasubiri kuitwa kazini NHIF, watu wameshaitwa tayari na orientation wanaanza jumanne, kwa wale waliopata kazi hongereni na kwa wale waliokosa msikate tamaa till next year.
Mwanaharakati2013 Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 170 Reaction score 15 Jul 10, 2014 #2 Thanks kwa taarifa
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,597 Jul 10, 2014 #3 Tiyari????.