Jamani hawa NHIF wameanza lini kuita oral? mi kwa experience yangu ya zaidi ya miaka mitatu ya interview zao za written huwa hazina oral ni direct unaitwa kufanya kazi baada ya written,kinachosubiriwa kwa sasa ni simu za kuitwa kazini tuu na hakuna hiyo budget ya oral.