Tuliofanya Written interview kule Bima ya Afya sasa hivi matumbo joto tukisubiria kama tutaitwa kwenye Oral interview au la.
Jamani eeeeh wenye kujua hawa jamaa kuwa wanaita lini atujuze basi tujue kama tuendelee na uchuuzi wetu samaki hapa soko la ferry au tuingie chimbo tukajiandae na nondo za Oral.
Naomba kuwasilisha ​
kwa kigezo kuwa alojibu swali la kwanza na la mwisho vizuri aje kuhudhuria interview tar......!!!!Nadhani watawaita wote waliofanya written interview.Kwani mwanzo walifanyaje.
uki apply sahau mpaka wakuite. kuitwa oral sio kupata kazi mkuu bali ni procedure katika kupata kazi.
Endelea kufanya mambo yako,kama ipo ipo tuu
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!upo sahihi mkuu,ila hata ukijifanya upo bize vipi kitumbojoto cha kutaka kuitwa kitakuwepo tu,si unajua shavu tenaaaaa
Mhhhh mwenzetu kuna cri gan hapo kwenye oral...tuambiee!!hahahahahaaa,acha kunibaniaaaaaaa weweee,wakiroga kuniita tu ujue wamenipa kazi,uchuuzi wa samaki nauaga hivihivi,nawaachia wenzangu mishombo ya samaki
Na kigezo aliyetumia kalamu kujibu maswali...hahahahkwa kigezo kuwa alojibu swali la kwanza na la mwisho vizuri aje kuhudhuria interview tar......!!!!
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!
Mh wenye vitumbo joto ni nyie labda mlomaliza chuo mwaka jana lkn sie twenye miaka zaid ya mitatu kitaa bila ajira wala hatuna kitumbojoto! Tukiitwa haya tusipoitwa pia poa tu..tushazoea,tunasubiria rehma za Mungu!
Tuliofanya Written interview kule Bima ya Afya sasa hivi matumbo joto tukisubiria kama tutaitwa kwenye Oral interview au la.
Jamani eeeeh wenye kujua hawa jamaa kuwa wanaita lini atujuze basi tujue kama tuendelee na uchuuzi wetu samaki hapa soko la ferry au tuingie chimbo tukajiandae na nondo za Oral.
Naomba kuwasilisha ​
hahahahahaaa,acha kunibaniaaaaaaa weweee,wakiroga kuniita tu ujue wamenipa kazi,uchuuzi wa samaki nauaga hivihivi,nawaachia wenzangu mishombo ya samaki