NHIF oral interview results tayari?

NHIF oral interview results tayari?

Mwenye list ya majina nhif please interview ya written atupie please nafasi za uwasibu
 
duuu mbona watu mko kimya sana na hilli swala au hawajatoa nia uongo tu mimi niikingia sionai majina ya compliance
 
msaada kwa mwenye zile namba za jobapp anisaidie au nimpe jina anichekie ..
 
Wakuu mbona postion ya Complience haionekani? lakini surveyor zimetoka mara mbili? msaada
 
Msaada zaidi wakuu kupata majina ya position ya drivers, mdau hapo juu anayo ya kada tofauti.
 
Tunaomba mwenye majina atuwekeee pls ya kuitwa kwa usali
 
Compliance officer bado hawajaweka,, kuwa na subira,, kwan hata hayo waliyoweka hawajasema hiyo oral ni lini na wapi,, kwan kusubiria ni kwa sana tu
 
Back
Top Bottom