NHIF Kunani

NHIF Kunani

Kiefer

Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
13
Reaction score
3
Habari wadau,no vipi hawa waajir wa nhif maana tulifanya interview mwez April,tukaitwa oral mwezi may,kada zingine waliitwa Larkin kwa secretaries, receptionist, Na drivers no kimya mpaka Leo,tukiuliza tuliofanya interview wote hamna alieitwa Na ukiuliza kwa wanaofanya hapo makao makuu wanasema kada hzo hawajaitwa,hivi inawezekana kwel wadau kuitwa tena?Na kama hatujaitwa sisi tulofanya interview atakua kaitwa nano?msaada wenu tafadhar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom