Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,282 Reaction score 4,556 Mar 23, 2012 #1 Nguzo za gridi ya Taifa zinapokosa kazi, Hii ni kwa kuwa hakuna umeme .
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Mar 23, 2012 #2 Ahahaha!Siku imeanza vizuri aisee. Very funny.
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,282 Reaction score 4,556 Mar 23, 2012 Thread starter #3 Ndibalema said: Ahahaha!Siku imeanza vizuri aisee. Very funny. Click to expand... Ngereja William akiona hii atafurahia mgao wa umeme
Ndibalema said: Ahahaha!Siku imeanza vizuri aisee. Very funny. Click to expand... Ngereja William akiona hii atafurahia mgao wa umeme
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 23, 2012 #4 hahaha zinacheza loh!
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Mar 23, 2012 #5 Huyo anaerukaruka katikati ni Ngeleja na Tanesco yake wanafanya utani na umeme wa nchi hii ndio maana hatuna hata umeme wa uhakika wenyewe wamekalia michezo na usanii kama hiyo picha
Huyo anaerukaruka katikati ni Ngeleja na Tanesco yake wanafanya utani na umeme wa nchi hii ndio maana hatuna hata umeme wa uhakika wenyewe wamekalia michezo na usanii kama hiyo picha